#RahaTukichoka - NGUVU YA KUONA - #2 |BY PRINCE BEWISA - Fahamu zaidi Staili za Maisha na Saikolojia. Bewisa App | ™ - Efe. 5:15-17
SOMA HIZI PIA:
Loading...

#RahaTukichoka - NGUVU YA KUONA - #2



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA



« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

 


Unaona nini? Imani je unayo? Unazikumbuka Ahadi za Mungu maishani mwako?

Kwanini uhangaike ilihali anakuwazia mambo mema? Shida si Mungu, shida ni mtazamo wako na kuanza kushindana na watu wengine. Mungu anajua mahitaji yako na ana mpango mwema juu ya maisha yako haya mema. Kumbuka hukujiumba, bali alikuumba yeye mwenyewe kwa ustadi mkuu na zaidi sana aliweka mpango madhubuti kwenye maisha yako. Hujaja kubahatisha maisha hapa duniani wala hujaja kubangaiza hali za maisha.

Unaona nini? Jifunze Nguvu ya kuona hapa chini ubadili maisha yako kimtazamo:



Ili kupata Makala zaidi na kwa njia rahisi, Install App yetu kwenye PlayStore. Tafuta BEWIS APA, au BONYEZA HAPA



TUAMBIE UNA MAONI GANI JUU YA HILI?

Facebook Plugin by princebewisa

Chapisha Maoni

Enenda kwa hekima, ukijua ni yapi yaliyo mapenzi ya Mungu huku ukiukomboa wakati. Install Bewisa App kwenye PlayStore kwa maarifa zaidi.
- EV. BENSON W. MMARI, +255 768 111 279

CodeNirvana
© Copyright Bewisa App | ™ - Efe. 5:15-17 | Modified By PB Web and Graphics
Back To Top